Download: Harmonize Ft. Diamond Platnumz – Kwangwaru [Audio+Video+Lyrics]

Download: Harmonize Ft. Diamond Platnumz – Kwangwaru [Audio+Video+Lyrics]

November 19, 2018 0 By Cypher9ja

Tanzania’s WCB Music label stays riding the music airwaves with the recent releases. Harmonize features Diamond Platnumz on his latest drop “Kwa Ngwaru”. Produced by Lizer, the jam is well on it’s way to topping music charts across the region.

Listen, download and enjoy!

FREE MP3 DOWNLOAD

LYRICS

[Harmonize] Hhhhmmmm I wish ninge kuwaga na mavumba Mkwanja manoti Nikuhonge vya thamani Ama! Niwe fundi wa kuigiza ka Kanumba Masanja Joti Usiwe mbali nami Hhhmmmm My darling, I need you love oh Uwe nami Haki ya mungu nakupenda Nobody can show your love oh Usiwaamini Ukisha wapa wanakwenda Oh, basi jilegeze Nikubebe mgongoni (iyelewi) Deka nikudekeze Nikutunze kama mboni (iyelewi) Wakija uwapoteze Jifanye kama huwaoni (iyelewi) Kisha uniongeze Ulivyofunzwa unyangoni (iyelewi) [CHORUS] Ooh baby… Asa dance nikuone (kwa ngwaru) Wa bami jo (kwa ngwaru) Ololu Femi (kwa ngwaru) Oooh baby…. Asa cheza nikuone (kwa ngwaru) Wa bami jo (kwa ngwaru) Basi cheza na mimi (kwa ngwaru) Aaagah [Diamond Platnumz] Moyo wangu wa muarobaini Mchungu ukiuziwa Samehe mara sabini Huo uzungu sija jaaliwa Ungependa juu ama chini Kwenye uvungu uparemiwa Nikumbatie baridini Kwenye tundu kama njiwa Moyo wangu mie wa makuti Usinijie na kiberiti (Hasa wee !) Penzi likageuka chuki Nyumba ikawa kibiti (Hasa wee!) Nipatie vya kitandani Nipe mpaka kwenye kiti (Hasa wee!) Ila asiniingie shetani Nawe nikaja kukucheati Oh, basi jilegeze Nikubebe mgongoni (iyelewi) Kitandani nikoleze Kwa miuno ya kingoni (iyelewi) Kisha nibembeleze Nirudishe utotoni (iyelewi) Weka mate niteleze Kama nyoka pangoni (iyelewi) [CHORUS] Ooh baby… Asa dance kidogo (kwa ngwaru) Oh wabanwe choo (kwa ngwaru) Ololu Femi (kwa ngwaru) Oooh baby…. Asa cheza nikuone (kwa ngwaru) Wa bami jo (kwa ngwaru) Basi cheza na mimi (kwa ngwaru) Aaagah [Diamond Platnumz & Harmonize] Unataka kucheza chura na ingali umesimama Ai inama inama Asa waoneshe Ai inama inama Unachezaje Ai inama inama Unataka maji ya kisima na mwoga wa kuchutama Ai inama inama Ebu waoneshe Ai inama inama Unachotaje Ai inama inama Unataka kupiga deki wima umesimama Ai inama inama Ebu tuoneshe Aah, inama inama Unapiga je Ai inama inama Si unataka vya pool table sa’ mbona unajibana Ai inama inama Ebu tuonyeshe Ai inama inama Unalenga je Ai inama inama (Wasafi Record) Oya, wanangu wa kigogo (ai inama) Nipe za Mose Iyobo (ai inama) Vunja vunja kidogo (ai inama) Aah, niongeze mikogo (aah, inama inama)